Tujongee Mezani
Tujongee Mezani | |
---|---|
Performed by | St. Theresa Eastleigh |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Views | 8,648 |
Tujongee Mezani Lyrics
Tujongee mezani, tujongee mezani,
Tujongee mezani kwa chakula cha Bwana
Bwana ameandaa, Bwana ameandaa,
Bwana ameandaa chakula kwa ajili yetu
Bwana Yesu anatuita, tujongee mezani kwake
Mezani kwa karamu ya mapendo
Meza yake inapendeza, inapendeza sana
Jongea ndugu upate uzima- Wale wenye moyo safi, moyo safi
Ndio wanastahili kujongea meza ya Bwana - Kama hujajiandaa, pia nawe
wewe haustahili kujongea meza ya Bwana