Napiga Goti Langu

Napiga Goti Langu
Performed by-
AlbumRaha ya Ajabu
CategoryEkaristia (Eucharist)
Views3,947

Napiga Goti Langu Lyrics

  1. Napiga goti langu (Bwana), nainamisha kichwa (chini)
    {Kukuomba ewe Mungu-, unifungue moyo-
    Nipate kushiriki- karamu takatifu-
    Ili roho yangu dhaifu ipate wokovu} * 2

  2. Furaha ya moyo wangu ni wewe Bwana
    Matumaini ya moyo wangu ni kwako
    Ninajongea sasa kushiriki karamu takatifu, Bwana, wangu
  3. Ninaitikia mwaliko wako Bwana
    Moyo wangu unatetemeka kwa hofu
    Mwaliko wako umejaa upendo kwangu moyoni
  4. Kila tuulapo mwili wa Bwana Yesu
    Na kuinywa damu tunapata uzima
    Tumekombolewa kwa damu yake Mwanakondoo, Mwana wake Mungu