Jongeeni Tuingie
   
    
     
         
          
            Jongeeni Tuingie Lyrics
 
             
            
- { Jongeeni tuingie nyumbani mwa Baba *2
 Twende twende twendeni, nyumbani kwa Baba } *2
- Twendeni sote, nyumbani mwa Baba
 Twende kwa furaha, nyumbani mwa Baba
 Twendeni sote, nyumbani mwa Baba
 Twende kwa heshima nyumbani mwa Baba
- Twendeni sote, nyumbani mwa Baba
 Twende kumwabudu nyumbani mwa Baba
 Twendeni sote, nyumbani mwa Baba,
 Twende kumtukuza nyumbani mwa Baba
- Twendeni sote, nyumbani mwa Baba,
 Twende kumshukuru nyumbani mwa Baba
 Twendeni sote, nyumbani mwa Baba,
 Twende kumsujudu nyumbani mwa Baba