Inasonga Mbele Injili
| Inasonga Mbele Injili | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Injili na Miito (Gospel) |
| Views | 31,085 |
Inasonga Mbele Injili Lyrics
{ Inasonga mbele injili, inasonga,
Inasonga mbele injili inasonga mbele } *2- Kwa vijana inasonga . . .
Kwa wazee Inasonga . . . - Kwa wamama Inasinga . . .
Kwa wababa inasonga . . . - Kwa mapadri inasonga . . .
Kwa watawa inasonga . . . - Kwa wakristu inasonga . . .
Kwa watu wote inasonga . . . - Kwa kanisa inasonga . . .
Kwa chuo chetu inasonga . . .