Na Tulitangaze
Na Tulitangaze | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Views | 3,028 |
Na Tulitangaze Lyrics
- Na tulitangaze neno, neno la Bwana
Neno lake Bwana Yesu chem chemi ya uzimaNeno lake Bwana Yesu litatufundisha
Neno lake Bwana Yesu chemi chemi ya uzima
Injili yake Yesu Iihubiriwe kote,
Neno lake Bwana chemi chemi ya uzima *2 - Neno lake Bwana Yesu linatuunganisha
Neno lake Bwana Yesu latupa umoja - Neno lake Bwana Yesu kweli linaponya
Neno lake Bwana Yesu latupa amani.