Watu Wote Watangazieni
Watu Wote Watangazieni | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Views | 3,086 |
Watu Wote Watangazieni Lyrics
- Watu wote watangazieni neno la Muumba
Mungu, wamwamini na kutubu yote *2Wambi - waambieni watu wote leo
Wamwa - wamwamini Bwana Yesu kweli
Na ku - na kushika neno lake Bwana
Na ku - na kuomba kwa Muumba Mungu *2 - Wale wote tuliomwamini Bwana
Atakaporudi, tutakwenda naye juu mbinguni - Watu wote wasiomwamini Bwana
Atakaporudi, watalia na shetani nao. - Ndugu zetu tuliomwamini Bwana
Tutakapokwenda, duniani moto utawaka