Mungu Wetu ni wa Amani
Mungu Wetu ni wa Amani | |
---|---|
Alt Title | Mungu wetu ni wa Ajabu |
Performed by | - |
Category | Sign of Peace/Kutakiana Amani |
Views | 9,605 |
Mungu Wetu ni wa Amani Lyrics
- Mungu wetu ni wa Amani
Mungu wetu ni wa amani *3Kanitoa wapi kaniweka wapi
Kanitoa chini kaniweka kati
Kanitoa kati kaniweka juu
Mungu wetu ni wa amani - Mungu wetu ni wa upendo
- Mungu wetu ni wa Baraka