Bwana Yesu Fadhili Zako
   
    
     
         
          
            Bwana Yesu Fadhili Zako Lyrics
 
             
            
- Bwana Yesu, fadhili zako ni za milele
 Uaminifu wako kwetu wadumu milele.
 Mwi- Mwimbieni Bwana,
 Mshu- Mshukuruni Bwana,
 Imbeni aleluya Bwana,
 Tukumbuke rehema zake. *2
- Bwana Yesu, fadhili zake ni za milele
 Mwili wako posho safarini kwa milele.
- Bwana Yesu, fadhili zako ni za milele
 Damu yako yatufikisha hadi milele.
- Bwana Yesu, fadhili zako ni za milele
 Watupenda sisi kwa upendo wa milele.
- Aleluya, mataifa, musifuni Bwana,
 Enyi watu wote mwimbieni na kumkuza.