Twendeni Wote Kwa Bwana
Twendeni Wote Kwa Bwana | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Views | 6,545 |
Twendeni Wote Kwa Bwana Lyrics
Twendeni wote kwa Bwana,
Atualika karamuni,
Tukale mkate wa mbingu.- Yeye mwenyewe ni Mungu,
Na pia ni mwanadamu, jamani. - Yeye ni mkate halisi,
Yeye ni shibe halali, jamani. - Yeye ni Mwana wa Mungu,
Mtawala Mkuu wa mbingu, Jamani. - Yeye ni penzi la Baba,
yeye ni Neno la Baba jamani. - Yeye ni mwanga wa kweli,
Tena ni njia ya kweli, jamani. - Yeye ni mpenzi wa wote,
faraja kweli kwa wote, jamani. - Yeye ni mlango wa mbingu,
Tuzo na heri ya mbingu, jamani.