Asante Mungu Wangu

Asante Mungu Wangu
Choir-
CategoryThanksgiving / Shukrani

Asante Mungu Wangu Lyrics


Asante Mungu wangu asante,
moyo wangu wakusifu Aleluya.1. Natamani rukaruka kama ndege,
kwa furaha nifike huko mbinguni
Natamani kuwika kama jogoo,
Kuonyesha furaha niliyonayo

2. Mungu wangu ni mkuu namtukuza,
hansinzii na halali sikieni
Ukilala yeye halali ni mlinzi wangu,
Na mchana sambasamba twatembea

3. Hunilisha huninywesha siku zote,
Mungu wangu wa ajabu asifiwe
Posho langu sitaona njaa kamwe,
Maji yangu sitaona kiu kamwe

4. Malaika juu mbinguni wanaimba,
wakisema hosanna atukuzwe
Wateule juu mbinguni wanaruka,
Wateule duniani tufanyeje

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Sasa Wakati Umefika 7482439
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442