Tumshukuru Mungu
Tumshukuru Mungu | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Thanksgiving / Shukrani |
Views | 4,274 |
Tumshukuru Mungu Lyrics
Tumshukuru Mungu, tumshukuru Mungu
Kwa maana anatupa tunayohitaji- Enyi nyote mshukuruni
Mfalme wenu mshukuruni
Atulinda (sote) daima * 2 - Anatenda maajabu, mkono wake una nguvu
Atulinda (sote) daima * 2 - Yeye mkuu wa vit vyote, falme zake hazina mpaka
Atulinda (sote) daima * 2 - Utukufu una Baba, pia kweli una mwana
Naye Roho Mtakatifu * 2