Login | Register

Sauti za Kuimba

Tumshukuru Mungu Lyrics

TUMSHUKURU MUNGU

Tumshukuru Mungu, tumshukuru Mungu
Kwa maana anatupa tunayohitaji

 1. Enyi nyote mshukuruni
  Mfalme wenu mshukuruni
  Atulinda (sote) daima * 2
 2. Anatenda maajabu, mkono wake una nguvu
  Atulinda (sote) daima * 2
 3. Yeye mkuu wa vit vyote, falme zake hazina mpaka
  Atulinda (sote) daima * 2
 4. Utukufu una Baba, pia kweli una mwana
  Naye Roho Mtakatifu * 2
Tumshukuru Mungu
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
 • Comments