Bwana Ametamalaki

Bwana Ametamalaki
Performed by-
CategoryZaburi
Composer(traditional)
Views8,207

Bwana Ametamalaki Lyrics

  1. Bwana ametamalaki *2 aleluya

  2. Mbingu/zifurahi/ na dunia/ ishangilie
    Furahini, shangilieni, aleluya
  3. Mbingu hutangaza haki yake Bwana
  4. Mataifa/yataona/utukufu/wake Bwana
  5. Umetukuka Ee Bwana/juu ya/dunia yote
  6. Kiti chako/ni imara/Wewe upo/ tangu milele . . .