Kinywa Changu Kitasimulia
Kinywa Changu Kitasimulia | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Zaburi |
Composer | Alex Nkanda |
Views | 4,911 |
Kinywa Changu Kitasimulia Lyrics
{ Kinywa changu kitasimulia haki
na wokovu wako,
kitasimulia haki na wokovu wako } *2- Nimekukimbilia ewe Bwana nisiaibike milele
- Ndiwe peke yako kinga langu,
unikinge Bwana na mkorofi. - Nimekukimbilia wewe Bwana nisiabike milele
- Mikononi mwako Bwana niokoe,
unisikie Bwana, uniokoe