Mambo Yote Yamo
| Mambo Yote Yamo | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Composer | (traditional) |
| Views | 2,832 |
Mambo Yote Yamo Lyrics
Mambo yote yamo, Bwana,
Katika mapenzi yako *2- Wala hakuna awezaye kupigana na mapenzi yako.
- Kwa maana ndiwe/uliyeumba yote.
- Uliumba mbingu/uliumba dunia.
- Wewe ndiwe Bwana/ndiwe Bwana wa vyote.
- Jina lako lakumbukwa/na vizazi vyote.
- Mbingu na dunia zitatoweka/lakini wewe utabaki.
- Na maisha yako/hayana mwisho.