Bwana Kote Ninakotazama
Bwana Kote Ninakotazama | |
---|---|
Performed by | St. Paul's Community Choir Nrb |
Category | Thanksgiving / Shukrani |
Views | 3,352 |
Bwana Kote Ninakotazama Lyrics
- Ah-ah, ah-ah-ah! - ah-ah, ah-ah-ah! *2
Bwana kote ninakotazama, nauona uwezo wako *2
{ Bwana kote ninakotazama,
Nauona uwezo wako na mkono wako ewe Mungu wa majeshi,
Ninakotazama nauona uwezo wako! } *2 - Bwana kote ninakotazama, Bwana { ninakotazama } *3
Ah-ah, ah-ah-ah! - Bwana kote ninakotazama,
Nauona uwezo wako na mkono wako ewe Mungu wa majeshi,
Nikitazama nauona uwezo wako ewe Mungu wa majeshi, - Aaah aaah aaah . . .
- Nikitazama mabonde na milima
(Ah-ah, uh-uh-uh, naona uwezo wako)
Nikitazama mito na bahari
(Ah-ah, uh-uh-uh, naona uwezo wako)
Nikitazama samaki na ndege wa angani
Ah-ah, uh-uh-uh, naona uwezo wako -oh
Ah-ah, uh-uh-uh, naona uwezo wako -oh - Vi-umbe vya dunia, vyatangaza utukufu wako
Sayari, jua nyota na mwezi, vyatangaza utukufu wako
Na vyo-te ulivyoumba, vyatangaza utukufu wako
Nasi sote kwa nyimbo pia vigelele, tuutangaze utukufu wako - Bwana kote ninakotazama, (Ninakotazama) *3
Nauona uwezo wako na mkono wako ee Mungu wa Majeshi, - (Bwana) *6 ninakotazama nauona uwezo wako na mkono wako
Oh oh oh *5
Kote ninakotazama *3
Nauona, u-we-zo wa-ko!