Maria Mwombezi

Maria Mwombezi
Performed bySt. Cecilia Mwenge Dsm
AlbumTunakushukuru Mama Maria
CategoryBikira Maria
ComposerP. F. Mwarabu
Views8,211

Maria Mwombezi Lyrics

  1. Maria Mwombezi, sisi wana wako
    Katika shida zote, tuwie kinga yetu
    Maria, twakuomba sana, tupe neema zako
    Tuyashinde magumu, tufike kwa mwanao

  2. Maria Mama kimbilio letu, uwe kinga pia tulizo letu
  3. Kwenye majaribu ya ibilisi, tupe msaada tuweze kushinda
  4. Mama kimbilio la wakosefu, wastahili faraja ya mwanao
  5. Maria tulizo la wenye dhiki, wapatie faraja na amani