Umsihi Mwanao
Umsihi Mwanao | |
---|---|
Choir | St. Cecilia Mwenge Dsm |
Album | Asante Mama wa Yesu |
Category | Bikira Maria |
Composer | P. F. Mwarabu |
Source | Tanzania |
Umsihi Mwanao Lyrics
Umsihi mwanao Yesu, Maria,
asamehe makosa yangu
Anitoe mashaka yote, Maria,
yaliyomo moyoni mwangu
Maria unisaidie Maria, Maria uniokoe
Mimi mwanao mwenye dhambi
-
Nionee huruma mama, mimi niliye mpotevu
Mwili wangu ni dhaifu, kwa sababu ya dhambi zangu -
Na magonjwa niponye mama, kwa jina la mwanao Yesu
Naye Roho mtakatifu, imarishe nguvu zangu