Umsihi Mwanao Lyrics

UMSIHI MWANAO

@ P. F. Mwarabu

Umsihi mwanao Yesu, Maria,
asamehe makosa yangu
Anitoe mashaka yote, Maria,
yaliyomo moyoni mwangu
Maria unisaidie Maria, Maria uniokoe
Mimi mwanao mwenye dhambi

  1. Nionee huruma mama, mimi niliye mpotevu
    Mwili wangu ni dhaifu, kwa sababu ya dhambi zangu
  2. Na magonjwa niponye mama, kwa jina la mwanao Yesu
    Naye Roho mtakatifu, imarishe nguvu zangu
Umsihi Mwanao
COMPOSERP. F. Mwarabu
CHOIRSt. Cecilia Mwenge Dsm
ALBUMAsante Mama wa Yesu
CATEGORYBikira Maria
SOURCETanzania
  • Comments