Mbali Kule Nasikia
Mbali Kule Nasikia Lyrics
- Mbali kule nasikia malaika wa mbinguni,
Wakiimba wengi pia wimbo huo juu angani:
Gloria in excelsis Deo,
Gloria in excelsis Deo.
- Wachunga tuambieni sababu ya nyimbo hizo?
Mwenye kuimbiwa ni nani, juu ya nani sifa hizo?
- Je hamjui jambo kuu la kuzaliwa Mwokozi?
Habari ya wimbo huo ndiyo kumshukuru Mwenyezi.
- Kweli, nasi twende hima, tufike kule aliko,
Tuone mtoto na mama, tuwasalimie huko.
ANGELS WE HAVE HEARD ON HIGH
- Angels we have heard on high,
Sweetly singing o'er the plains
And the mountains in reply,
Echoing their joyous strains.
Gloria in excelsis Deo,
Gloria in excelsis Deo.
- Shepherds, why this jubilee?
Why your joyous strains prolong?
Say what may the tidings be
Which inspire your heav'nly song?
- Come to Bethlehem and see,
Him whose birth the angels sing
Come adore on bended knee,
Christ the Lord, the newborn King.
- See within a manger laid,
Jesus, Lord of heav'n and earth
Mary, Joseph, lend your aid,
With us sing our Savior's birth.