Njoo Kwetu Masiya

Njoo Kwetu Masiya
Performed by-
CategoryMajilio (Advent)
Views16,756

Njoo Kwetu Masiya Lyrics

  1. Njoo kwetu Masiha (njoo) njoo Bwana, utuokoe *2

  2. Utuhurumie sisi wadhambi / tunakulilia, 'tusikilize.
  3. Nguvu za shetani zimetubana/ njia ya uwingu haipitiki.
  4. Utufungulie mlango wa mbingu/ na kuyatakasa maovu yote.
  5. Nazo dhambi zetu zimetusonga/ kamba za mauti zatuzunguka.
  6. Ee yesu Masiya, mwenye huruma/ njoo hima, Bwana utuokoe.