Katika Mji Ule
| Katika Mji Ule | |
|---|---|
| Performed by | - | 
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) | 
| Views | 8,653 | 
Katika Mji Ule Lyrics
- Katika mji mwema mbinguni kwa Mungu
 Ndiko ahadi zetu ziendako *2Mji wangu wa huko mbinguni juu,
 Nikiuona ninautamani.
 Furaha ya dhambi yanitia giza,
 Nitauona lini mji mwema *2
- Ninatamani sana kwenda mji huo *2
 Ambako nitaishi bila shida *2
- Mwokozi wetu Yesu naye asikia *2
 Yale maombi yetu tuombayo *2
- Usikose kuomba Yesu, asikia *2
 Naye atatufikisha, Mbinguni *2
 
  
         
                            