Kuteswa Kwake Bwana
Kuteswa Kwake Bwana | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) |
Video | Watch on YouTube |
Views | 13,549 |
Kuteswa Kwake Bwana Lyrics
- Kuteswa kwake Bwana kulinipa wokovu
Siachi kumwimbia pote niendapo *2Aliyeniokoa ni Yesu
Aliyevumilia mateso
Aliyemwaga damu mtini,
Ndiye(ndiye) Bwana Wangu *2 - Kwa kunipenda mimi aliwambwa akafa,
Ni pendo la ajabu kunifia *2 - Rohoni nimeoshwa kwa damu ya thamana,
makosa yameoshwa naye mwokozi *2