Mkizipenda Sheria Zangu
Mkizipenda Sheria Zangu | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Mafundisho ya Yesu |
Views | 4,907 |
Mkizipenda Sheria Zangu Lyrics
{ Mkizipenda sheria zangu
Nitawaombea kwa Baba yangu
(na yeye) atamtuma Roho wa kweli
(ndiye) atakaye wafariji mioyo } *2- Nyumbani mwa Baba kuna mengi,
Kwa kweli atawapa makao *2 - Sitawaacha kama yatima,
Nitamtuma Roho wa kweli *2 - Kwa kweli mkinipenda mimi, na
Baba yangu atawapenda *2