Harusi ya Mungu
Harusi ya Mungu |
---|
Performed by | - |
Category | Harusi |
Views | 4,391 |
Harusi ya Mungu Lyrics
- Harusi ya Mungu
Harusi ni siri kwa wale walioitimiza *2
Mnapoahidi
Wakristu wote wanashuhudia yale mnayosema *2.
Ni dhahabu yenu
Muitunze kila siku, isijechafuke *2
Naye Mungu
Wa uwezo maishaini mwenu awasaidie *2
- Mtakatifu Paulo,Katika waraka wake kwa
Waefeso sura ya tano
Aliwaambia. Waume wapendeni wake zenu
kama miili yenu
Nanyi wanawake, Mtii waume zenu
kama vile apendayo Bwana
- Mliowaona, Kumbukeni siri
hii ni siri ya ndoa ya rohoni
Kujipamba kwenu, Kusiwe kwa nje tu,
bali mzipambe roho zenu