Leo Tuna furaha
| Leo Tuna furaha | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Harusi |
| Views | 3,594 |
Leo Tuna furaha Lyrics
- Leo tuna furaha nyingi sana,
kwenye harusi ya wazazi wetu
Yaliyobaki na tuseme nini,
tuwape hongera kwa kazi yaoPete mikononi mwao,
furaha nyusoni mwao
Bwana Mungu twakuomba,
hawa wawili wasiachane - Hongera hiyo hongera kwa wote,
mliyoweza kufika karibu
Kwa vile mmeshashuhudia,
harusi ya hawa wazazi wetu - Yesu naye alikua kanani,
kwenye harusi kubwa sana sana
Alifurahi kuona wawili,
wakiagana kuishi pamoja