Ndoa na Iheshimiwe
Ndoa na Iheshimiwe |
---|
Performed by | - |
Category | Harusi |
Views | 5,857 |
Ndoa na Iheshimiwe Lyrics
- Ndoa na iheshimiwe kote (kwani) ni zawadi,
(toka) kwake Mungu,
nyumba ibarikiwe siku zote kwa pendo lake lote *2
Yesu akae nyumbani maisha yenu,
awape mema maisha makamilifu (oh)
Katika shida zote kumbuka Mungu bado awapenda,
je wafahamu, mahitaji yenu, awatajazia baraka zake *2.
Anawapenda *5 atawajazia baraka zake-
O hoho Yesu *2
- Yesu aongoze njia zenu ( sasa) awe nanyi (mpaka) miaka yote,
Katika shida atawafariji ni ngome miaka yote *2