Njooni Hapa

Njooni Hapa
Performed by-
CategoryHarusi
Views1,967

Njooni Hapa Lyrics

  1. Njooni hapa - ninyi nyote mnaopendana

    Aleluya, aleluya aleluya

  2. Mpendane - kila siku maishani mwenu
  3. Sisi sote - tumeshuhudia ndoa yenu
  4. Nyumba yenu - iwe nyumba ya kufurahia
  5. Na wazazi - wenu wote msiwasahau
  6. Kwani sisi - tunafurahia ndoa yenu