Waipeleka Roho Yako
Waipeleka Roho Yako | |
---|---|
Performed by | St. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam |
Category | Roho Mtakatifu (Pentecoste) |
Views | 7,059 |
Waipeleka Roho Yako Lyrics
Waipeleka Roho Yako ee Bwana
Nawe waufanya upya uso wa nchi
Waipeleka Roho Yako ee Bwana
Nawe waufanya upya uso wa nchi- Ee nafsi yangu umhimidi Bwana
Wewe Bwana Mungu wangu umejifanya mkuu sana
Ee Bwana jinsi yalivyo mengi matendo yako
Dunia imejaa mali zako - Waiondoa pumzi yao wanakufa
Na kuyarudia mavumbi yao
Waipeleka Roho yako wanaumbwa
Nawe waufanya upya uso wa nchi - Utukufu wa Bwana na udumu milele
Bwana na ayafurahie matendo yake
Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake
Mimi nitamfurahia Bwana