Roho ya Bwana Imeujaza Ulimwengu
| Roho ya Bwana Imeujaza Ulimwengu | |
|---|---|
| Performed by | St. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam |
| Category | Roho Mtakatifu (Pentecoste) |
| Views | 14,868 |
Roho ya Bwana Imeujaza Ulimwengu Lyrics
Roho ya Bwana imeujaza ulimwe-ngu
{ Nayo inayoviunganisha viumbe vyote
Hujua maana ya kila sauti aleluya } *2- Naye aliye na mambo yote ndani yake
Ana ujuzi wa kila neno aleluya - Mungu ainuka maadui wake watawanyika,
Kwani pendo la Mungu limekwisha kumiminwa,
katika mioyo yetu - Na Roho Mtakatifu,
tuliyepewa sisi aleluya