Nitajongea Meza ya Bwana
Nitajongea Meza ya Bwana | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Views | 6,048 |
Nitajongea Meza ya Bwana Lyrics
Nitajongea mbele ya meza yako nipokee
Nitajongea mbele ya meza yako nipokee
{Roho yangu Yesu inakutamani
Ukae ndani yangu nami ndani yako
Nipate uzima wa milele} *2- Karibu Yesu wangu, shinda nami daima
Moyoni Mwangu, uwe na mimi
Siku zote za maisha yangu - Karibu Yesu wangu, kitulizo cha kiu
Moyoni mwangu, uwe na mimi
Siku zote za maisha yangu - Karibu Yesu wangu, kitulizo cha njaa
Moyoni mwangu, uwe na mimi
Siku zote za maisha yangu