Fadhili Za Bwana
Fadhili Za Bwana | |
---|---|
Performed by | St. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam |
Category | Zaburi |
Views | 3,926 |
Fadhili Za Bwana Lyrics
{ Fadhili za Bwana zina wamchao
Tangu milele hata milele } *2- Ee nafsi yangu umhimidi Bwana
Naam vyote vilivyo ndani yangu
Vilihimidi Jina lake tukufu - Akusamehe maovu yako yote
Akuponye magonjwa yako yote
Aukomboa uhai wako na kaburi - Bwana ndiye afanyaye mambo ya haki
Na hukumu kwa wote walioonewa
Alimjulisha Musa njia zake - Bwana amejaa huruma na neema
Haoni hasira ni mwingi wa fadhili
Hakututenda sawa na hatia zetu