Ee Mungu Wangu Mfalme

Ee Mungu Wangu Mfalme
ChoirSt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CategoryZaburi
ReferenceZaburi 145

Ee Mungu Wangu Mfalme Lyrics

Ee Mungu wangu mfalme nitakutukuza
Nitalihimidi jina lako milele na milele


1. Bwana ana fadhili ni mwingi wa huruma
Si mwepesi wa hasira ni mwingi wa rehema
Bwana ni mwema kwa watu wote
Na rehema zake zi juu ya kazi zake zote

2. Bwana kazi zako zote zitakushukuru
Na wacha Mungu wako watakuhimidi
Wataunena utukufu wa ufalme wako
Na kuuhadithia uweza wako

3. Ili kuwajulisha watu matendo yake makuu
Na utukufu wa fahari ya ufalme wake
Ufalme wako ni ufalme wa zamani zote
Na mamlaka yako ni ya vizazi vyote

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442