Maria Mama Wa Mungu
Maria Mama Wa Mungu | |
---|---|
Choir | St. Cecilia Mwenge Dsm |
Album | Tunakushukuru Mama Maria |
Category | Bikira Maria |
Composer | Fr. D. Ntampambata |
Musical Notes | |
Time Signature | 2 4 |
Music Key | G Major |
Notes | Open PDF |
Maria Mama Wa Mungu Lyrics
{ Maria Mama wa Mungu, (Maria)
Utuombee sisi wakosefu } *2
- Salamu Maria umejaa neema, umebarikiwa Mama
- Bwana yuko nawe, umejaa neema, umebarikiwa Mama
- Kuliko wake wote, umejaa neema, umebarikiwa Mama
- Wewe mama yetu, mejaa neema, umebarikiwa Mama