Salamu Maria Mama wa Mungu

Salamu Maria Mama wa Mungu
ChoirSt. Cecilia Mwenge Dsm
AlbumTunakushukuru Mama Maria
CategoryBikira Maria
ComposerFr. D. Ntampambata

Salamu Maria Mama wa Mungu Lyrics

Salamu Maria Mama wa Mungu
Sisi wanao twakusalimu
Salamu Maria Mama wa Mungu
Sisi wanao twakusalimu

 1. Tunakujia ututazame,
  sisi wanao twakuimbia
 2. Wewe ni nguzo ya wasafiri,
  sisi wanao twakuimbia
 3. Wewe ni mlango wa uwinguni,
  sisi wanao twakuimbia
 4. Ututazame ee Mama mwema
  tukipambana na matatizo