Salamu Mama Mtakatifu

Salamu Mama Mtakatifu
ChoirSt. Cecilia Mwenge Dsm
AlbumTunakushukuru Mama Maria
CategoryBikira Maria
ComposerJoseph Makoye

Salamu Mama Mtakatifu Lyrics

Salamu Mama Mtakatifu wa Mungu
Uliyemzaa Mfalme mwenye kutawala Mbingu na dunia
Daima na milele
Salamu Mama Mtakatifu wa Mungu
Uliyemzaa Mfalme mwenye kutawala Mbingu na dunia
Daima na milele }

  1. Bwana ana fadhili, ni mwingi wa huruma
    Si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema
  2. Bwana huwahifadhi wote wampendao
    Na wote wasio haki atawaangamiza