Kwa Furaha Kuu Twakuita Mbarikiwa

Kwa Furaha Kuu Twakuita Mbarikiwa
Performed by-
AlbumUsia wa Mama Maria
CategoryBikira Maria
Views4,166

Kwa Furaha Kuu Twakuita Mbarikiwa Lyrics

  1. Kwa furaha kuu twakuita wewe mbarikiwa
    Mama yetu twakutukuza wewe una heri
    Kwa imani twaleta mikononi mwako
    Binadamu wote, wakiwa na matumaini na hofu zao
    Usiwaache wakose mwanga wa kweli
    Usiwaache wakose mwanga wa kweli

  2. Duniani ulitangulia, kanisa mama utuombee
  3. Utulinde Bikira Maria, utupe na neema ya wokovu
  4. Utufikishe uwinguni, tufurahi pamoja milele