Njoo Roho Mtakatifu
Njoo Roho Mtakatifu | |
---|---|
Performed by | St. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam |
Category | Roho Mtakatifu (Pentecoste) |
Composer | F. A. Nyundo |
Views | 21,702 |
Njoo Roho Mtakatifu Lyrics
Njoo Roho - Mtakatifu, shusha mapaji yako, niwe imara *2
Karibu - karibu, karibu,
{ Lete - nuru ya mwanga wako
Nifikie moyoni mwangu } *2- Roho mwenye hekima, Roho wa shauri na nguvu
- Nipatie elimu, nitambue nafsi yako
- Nipatie ibada, nikusifu daima na milele
- Roho mwenye uchaji, washa moto wako wa upendo