Astahili Enzi Utajiri na Heshima

Astahili Enzi Utajiri na Heshima
ChoirSt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CategoryKristu Mfalme (Christ the King)

Astahili Enzi Utajiri na Heshima Lyrics

Astahili enzi utajiri na heshima
Milele milele milele milele
Astahili enzi utajiri na heshima
Milele milele milele milele

 1. Mwanakondoo aliyechinjwa
  Astahili kupokea enzi na utajiri
 2. Na hekima na nguvu na heshima
  Utukufu kwake pamoja na enzi
  Daima na milele
 3. Ee Mungu umpe mfalme hukumu yako
  Umpe mwana wa mfalme na haki yako
 4. Atawahukumu walioonewa na watu
  Atawaokoa wahitaji, hatamtesa mwenye kuonewa
 5. Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu
  Kama mwanzo na sasa na siku zote, na milele amina