Nendeni Duniani Kote

Nendeni Duniani Kote
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
ComposerFr. D. Ntampambata
Views4,998

Nendeni Duniani Kote Lyrics

  1. { Nendeni duniani kote, kawafanye mataifa yote
    Kuwa ni wanafunzi wangu } *2

  2. Nendeni duniani kote, awafanye makabila yote
    Kuwa ni wafuasi wangu
  3. Nendeni duniani kote, hubirini kwao watu wote
    Wajue hili Neno langu
  4. Pelekeni kwa watu wote, habari njema ya wokovu
    Wapate kuwa kundi langu