Nimemkuta Daudi
Nimemkuta Daudi | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Composer | Fr. D. Ntampambata |
Views | 12,633 |
Nimemkuta Daudi Lyrics
{ Nimemkuta Daudi, mtumishi wangu mwema
Nitampaka mafuta, ili Mkono wangu uwe naye daima } *2- Mkono wangu uliomtia ya mafuta
Ndio utakaomtia nguvu - Ili adui asipate kumdhuru
Wala watesi wake wasipate kumuweza - Kwa mkono wangu hodari
Pembe yake itatukuka sana - Daima ataniita Mungu wangu
Nami nitamwita mwanangu