Bwana Mfalme

Bwana Mfalme
ChoirShirikisho la Kwaya Katoliki Dsm (Shikwaka)
AlbumKaribu Tanzania
CategoryKristu Mfalme (Christ the King)
ComposerJohn Mgandu

Bwana Mfalme Lyrics

{Bwana Mfalme ameketi milele (Bwana)
Atawabariki watu wote kwa amani } * 2

  1. Atawala Duniani na Mbinguni
    Toka mto hata kingo za dunia
  2. Na wafalme wote watamwabudia
    Mataifa yote yatamtumikia
  3. Utawala, utawala wa milele
    Ni ufalme wenye kudumu milele