Bwana Mfalme
| Bwana Mfalme | |
|---|---|
| Performed by | Shirikisho la Kwaya Katoliki Dsm (Shikwaka) |
| Album | Karibu Tanzania |
| Category | Kristu Mfalme (Christ the King) |
| Composer | John Mgandu |
| Views | 10,993 |
Bwana Mfalme Lyrics
{Bwana Mfalme ameketi milele (Bwana)
Atawabariki watu wote kwa amani } * 2- Atawala Duniani na Mbinguni
Toka mto hata kingo za dunia - Na wafalme wote watamwabudia
Mataifa yote yatamtumikia - Utawala, utawala wa milele
Ni ufalme wenye kudumu milele