Bahati Gani ee Ndugu
Bahati Gani ee Ndugu | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Composer | G. B. Matui |
Views | 3,409 |
Bahati Gani ee Ndugu Lyrics
Bahati gani ee ndugu, kuchaguliwa * 2
{ Kwenda kutangaza, enjili yake Bwana
Tumwombe Bwana awasaidie ninyi } * 2- Neno la Bwana ulinipa na kusema, nalikutakasa,
Nimekuweka kuwa nabii kati ya mataifa - Ndipo niliposema, Mungu siwezi
Maana mimi ni mtoto - Haya jifunge ukaondoke
Usifadhaike kwa ajili yao - Nao watapigana nawe lakini watashindwa
Maana mimi nipo pamoja nawe