Bwana Aliwaambia Mitume
| Bwana Aliwaambia Mitume | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Injili na Miito (Gospel) |
| Composer | J. Simya |
| Views | 4,477 |
Bwana Aliwaambia Mitume Lyrics
{Bwana aliwaambia mitume nendeni kote
Nendeni kote
Kuwahubiria mataifa yote neno
Neno la Mungu } *2
{
Heri wenye kusikia neno lake
Wana heri ya kumwona Mungu wetu
Neno lake Bwana ni la uzima } *2- Tangazeni Neno lake Mungu wetu
Mataifa yamwamini yaokoke - Heri wenye kusikia na kutii
Wana haki ya kumwona Mungu wetu