Umeniita Bwana Nipokee

Umeniita Bwana Nipokee
Performed byShirikisho la Kwaya Katoliki Dsm (Shikwaka)
AlbumKaribu Tanzania
CategoryInjili na Miito (Gospel)
ComposerJ. Simya
Views7,162

Umeniita Bwana Nipokee Lyrics

  1. Umeniita Bwana nipokee
    Umeniita Bwana nipokee
    Nimeitika wito niwe mtumishi wako milele*2
    Umeniita Bwana nipokee

  2. Umeniita Bwana, kufanya kazi katika shamba lako
    Uniongoze, niwe mtumishi wako mwaminifu
  3. Ulisema, ukitaka kunifuata, ukubali kuacha yote
    Nami nimekubali wito wako
  4. Bila wewe mimi siwezi kitu
    Neno lako Bwana liniongoze