Umeniita Bwana Nipokee

Umeniita Bwana Nipokee
ChoirShirikisho la Kwaya Katoliki Dsm (Shikwaka)
AlbumKaribu Tanzania
CategoryInjili na Miito (Gospel)
ComposerJ. Simya

Umeniita Bwana Nipokee Lyrics


Umeniita Bwana nipokee
Umeniita Bwana nipokee
Nimeitika wito niwe mtumishi wako milele*2
Umeniita Bwana nipokee


1. Umeniita Bwana, kufanya kazi katika shamba lako
Uniongoze, niwe mtumishi wako mwaminifu


2. Ulisema, ukitaka kunifuata, ukubali kuacha yote
Nami nimekubali wito wako

3. Bila wewe mimi siwezi kitu
Neno lako Bwana liniongoze

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442