Roho Yangu Yesu Inakutamani

Roho Yangu Yesu Inakutamani
Performed bySt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerF. A. Nyundo
Views19,997

Roho Yangu Yesu Inakutamani Lyrics

  1. { Roho yangu Yesu inakutamani,
    njoo kwangu Yesu unipe heri } *2

  2. Nakupenda kwani wewe mwema uniimarishe siku zote
  3. Uje kwangu Yesu nakuomba kwani wewe u rafiki mkuu
  4. Maumbo ya mkate na divai, umo ndani kweli nasadiki
  5. Na uzidi ee Yesu kuwa nami, Unipe uzima wa milele