Roho Yangu Yesu Inakutamani

Roho Yangu Yesu Inakutamani
ChoirSt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerF. A. Nyundo

Roho Yangu Yesu Inakutamani Lyrics

{ Roho yangu Yesu inakutamani,
njoo kwangu Yesu unipe heri } *2

  1. Nakupenda kwani wewe mwema uniimarishe siku zote
  2. Uje kwangu Yesu nakuomba kwani wewe u rafiki mkuu
  3. Maumbo ya mkate na divai, umo ndani kweli nasadiki
  4. Na uzidi ee Yesu kuwa nami, Unipe uzima wa milele