Wewe Ndiwe Petro
| Wewe Ndiwe Petro | |
|---|---|
| Performed by | Shirikisho la Kwaya Katoliki Dsm (Shikwaka) |
| Album | Karibu Tanzania |
| Category | Church |
| Composer | Stanslaus Mujwahuki |
| Views | 5,827 |
Wewe Ndiwe Petro Lyrics
Wewe ndiwe Petro, wewe ndiwe Petro
Na juu ya mwamba huu, nitalijenga kanisa langu
{Wala milango (wala milango) ya kuzimu (ya kuzimu) haitalishinda } *2- Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa Mbinguni
Na lolote utakalolifunga dunia litakuwa limefungwa Mbinguni - Na lolote utakalo fungua duniani litakuwa limefunguliwa Mbinguni